Now

Valentine (Siku Ya Wapendanao) Na Hukumu Ya Kuisherehekea

feisal says:
BismiLLaah wa AlhamduliLLaah was-Swalaatu was Salaamu ?alaa Muhammad wa ?alaa ?Aalihi wa Aswhaabihil Kiraam, wa Ba?ad,

Allaah ÓÈÍÇäå æÊÚÇáì Ametuchagulia dini ya Kiislamu ambayo ndio dini ya haki na Hatokubali dini yoyote nyingine kama Anavyosema:

((æóãóä íóÈúÊóÛö ÛóíúÑó ÇáÅöÓúáÇóãö ÏöíäðÇ Ýóáóä íõÞúÈóáó ãöäúåõ æóåõæó Ýöí ÇáÂÎöÑóÉö ãöäó ÇáúÎóÇÓöÑöíäó))

((Na anayetafuta dini isiyo kuwa Uislamu haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye kukhasirika)) [Al-'Imraan:85]

Na Mtume Õáì Çááå Úáíå æÂáå æÓáã ametuambia kuwa kutakua na makundi katika ummah wake ambao watawafuata maadui wa Allaah ÓÈÍÇäå æÊÚÇáì katika desturi na mila zao kama ifuatavyo:

((ÓÊÊÈÚæä Óää ãä ßÇä ÞÈáßã ÔÈÑÇð ÈÔÈÑ æÐÑÇÚÇð ÈÐÑÇÚ ÍÊì áæ ÏÎáæÇ ÌÍÑ ÖÈ áÏÎáÊãæå)) ÞÇáæÇ: ÃÊÑÇåã ÇáíåæÏ æÇáäÕÇÑì¿ ÞÇá: ((Ýãä ÅÐä¿)) ÇáÈÎÇÑí æãÓáã

((Mtafuata nyendo za wale waliokuja kabla yenu hatua kwa hatua mpaka itafika hadi wakiingia katika shimo la kenge, na nyinyi mtaingia pia)) Wakasema (Maswahaba): Ewe Mtume! Je, unamaanisha Mayahudi na Manaswara? Akasema: ((Hivyo nani basi mwengine?)) Al-Bukhariy na Muslim

Maneno hayo aliyoyasema Mtume Õáì Çááå Úáíå æÂáå æÓáã hakika yamesadikika kwani tunaona jinsi gani Waislamu siku hizi wanavyoigiza mila, desturi na tabia za makafiri na kuzisherehekea kama mfano siku hii inayoitwa 'Valentine day' (Siku ya Wapendanao).

Na baya zaidi na la kusikitisha sana ni kwamba sherehe hizi zinaenezwa katika njia mbali mbali za mawasiliano kama kutumiana kadi, barua pepe (e-mail), salamu katika simu za mkono. Hakika fitna hii humfanya Muislamu aharibu 'Aqiydah (Iymaan) yake kwa kudhani kuwa anafanya jambo la kawaida na hali ni jambo lisilo katika sheria ya dini yetu bali ni shirki kubwa na upotofu wa kufuata wanayoamini makafiri.

Historia Ya Sherehe Ya Siku Ya Valentine

Sherehe hii ya wapendanao ni sherehe ya wapagani wa Kirumi wakati dini yao ya upagani ilikuwa ni dini iliyotapakaa kwa Warumi karne zaidi ya kumi na saba zilizopita. Na fikra zao ilikuwa ni kuelezea hisia ya 'mapenzi ya kiroho'

Kulikuwa na visasili (uongo) zilizohusishwa na sherehe hii ya upagani ya Warumi ambao umeendelea kutoka warithi wa Kikiristo. Miongoni mwa uongo huo ni kuamini kwao Warumi kuwa Romulus, aliyevumbua Rome, alinyonyeshwa siku moja na mbwa mwitu mwanamke, hivyo akampa nguvu na hikma.

Warumi walikuwa wakisherehekea tukio hili katikati ya Februari kila mwaka kwa kufanya sherehe kubwa. Na mojawapo ya tambiko katika sherehe hii ni kuchinja mbwa au mbuzi. Vijana wawili wenye nguvu hujipaka damu ya mbwa au ya mbuzi katika miili yao, kisha huiosha damu hiyo kwa maziwa. Baada ya hapo, watu hufanya gwaride wakiwa vijana hawa wawilii wako mbele wakiongoza gwaride iliyokuwa ikitembea barabarani. Vijana hao wawili walikuwa wakichukua vipande vya ngozi ambavyo waliwapigia watu wanaowavuka. Wanawake wa kirumi walikuwa wakipokea mapigo hayo wakiamini kuwa yatawahifadhi na kutibu utasa.

Kuungamana Baina Mtakatifu Valentine (Saint Valentine) Na Sherehe Hii

Mtakatifu Valentine (Saint Valentine) ni jina waliopewa mashujaa wawili wakongwe waliokufa ambao ni wana wa kanisa la kikiristo. Inasemekena kwamba walikuwa ni wawili au mmoja tu. Huyo mmoja alikufa Rome kutokana na mateso ya kiongozi wa Kigothi aliyeitwa Claudius. Kanisa la Saint Valentine lilijengwa kwa ajili ya kudumisha kumbukumbu yake.

Warumi walipoingia ukristo, wakaendelea kusherehekea sikukuu ya wapendanao (valentine day) lakini wakabadilisha kutoka f
68 months ago
Replies:
Now
Mzalendo  says:
a/a wrwb. Asante kwa elimu hii kaka feisal. pia nakuomba, ukiweza fupisha ujumbe ili uturahisishie kusoma. baadhi yetu tuko kwenye heka heka za kutafuta riziki kila uchao na muda wa kusoma habari ndefu huwa ni mtihani mkubwa. jazakallah kheir
68 months ago
(1 comment on this topic)
Not logged in: Please login if you want to post a reply.